johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa.
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea.
Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa.
Ahsanteni 🐼🔥