Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni 🐼🔥
Kwa hiyo unaona ilikuwa sahihi. Kwa hiyo tuzidi kutengeneza mikanganyiko ilihali katiba ya Zanzibar ina majibu kuhusu hili? Hv unasoma katiba ya Zanzibar sifa za wagombea? Awe mzanzibar, nyingine tunayolalamikia awe mtanzania siyo mtanganyika Kwa nn mzanzibar asigombee halafu wewe mtngnyk lini unaenda wete kugombea na si mzanzibar!
 
Kilomita 10
Kilomita 10 Unaziona Chache Mkuu...
Kuna maeneo Zanzibar wanachukua Wilaya nzima kama Pangani, Bagamoyo ila Kuna siri ndefu sana kuhusu Mipaka mkuu..

Kama angegombea Iringa au Sumbawanga Mimi ningedoubt ila hapo kinondoni ambalo ni eneo Gombanifu na zanzibar sina cha Kuongeza
 
Unachanganya Mambo bro! Katiba ya, nchi inaruhusu, mzenj kugombea Bara! Sio issue ya chadema, hata kama wao, wananufaika, haimaniishi, ni, sahihi! Chadema IPO TZ, lazima, ifate katiba hii hii! Inayoruhusu Raisi kuiba, kuua, lakini hawezi, shitakiwa, chadema wanataka ibadilishwe, ili hata wao wakiingia ikulu, washitakiwe wakienda kinyume, wangeweza kukaa kimya,ili siku wakiingia ikulu, wanufaike na wawe majambazi kama CCM, mbunge analipwa 250K kila siku, na wapimzani, wanapokea, je kwa vile wanapinga matumizi ya hovyo,hutaki watumie? Hata posho alizolipwa lisu, ni, kwa mujibu wa sheria sio hisani ya Lumumba!
Bro hii nchi sio Mali ya CCM, bunge,ikulu, jeshi, tiss,takukuru sio taasisi za, CCM!
Nyie ma CCM jifunzeni kutoka Senegal, Rais wa, chama tawala kakubali kushindwa, kaachia madaraka! Kijana mbichi,ambae hajawahi hata kuwa diwani, kawa, Raisi!
Kuna majitu kama kinana,kikwete, warioba, wanapenda, kutuaminisha bila wao na CCM, nchi itakufa! Tunajua, kwanini wanangangania madaraka ni, ni majizi
 
Zanzibar ni nchi ujue

Halafu Ndio kuna mambo ya Muungano ambayo ni Jeshi, Mapolisi, Fedha, Anga na Mambo ya Nje 😂
 
Unatengeneza ubishi usio na maana tangu lini mzanzibar akasema yeye mtanzania siyo tu mtanzania hata kusema mtanzania visiwani kama ss tunaojiita waTanzania bara.
Wakijiita Wazanzibar wanavunja kifungu gani Cha Sheria na Katiba?
 
Usisahau kuna Maeneo Ya zanzibar Yaliyopo Tanganyika..
Kama maeneo ya Tanga..Baadhi ya Maeneo ya Dar, Baadhi ya maeneo ya Pwani ..

Kwahyo huenda walimpa agombee kipande cha Teritory ya zanzibar

..hayo maeneo Sultani aliyauza kwa Wajerumani miaka ya 1800 huko.

..Wazanzibari kama wana ubavu waidai Mombasa maana ilikuwa ya kwao mpaka mwaka 1963.
 
..hivi Ccm hakuna Watanganyika wa kum-challenge Mama Abduli? Wote hamna uchungu, wala uzalendo, na Tanganyika?
Hapo Chadema mtanganyika ni nani?

Mwenyekiti na Makamu Wamarekani

Katibu mkuu mkikuyu

Labda yule mgogo Benson tu 😂
 
Unachanganya Mambo bro! Katiba ya, nchi inaruhusu, mzenj kugombea Bara! Sio issue ya chadema, hata kama wao, wananufaika, haimaniishi, ni, sahihi! Chadema IPO TZ, lazima, ifate katiba hii hii! Inayoruhusu Raisi kuiba, kuua, lakini hawezi, shitakiwa, chadema wanataka ibadilishwe, ili hata wao wakiingia ikulu, washitakiwe wakienda kinyume, wangeweza kukaa kimya,ili siku wakiingia ikulu, wanufaike na wawe majambazi kama CCM, mbunge analipwa 250K kila siku, na wapimzani, wanapokea, je kwa vile wanapinga matumizi ya hovyo,hutaki watumie? Hata posho alizolipwa lisu, ni, kwa mujibu wa sheria sio hisani ya Lumumba!
Bro hii nchi sio Mali ya CCM, bunge,ikulu, jeshi, tiss,takukuru sio taasisi za, CCM!
Nyie ma CCM jifunzeni kutoka Senegal, Rais wa, chama tawala kakubali kushindwa, kaachia madaraka! Kijana mbichi,ambae hajawahi hata kuwa diwani, kawa, Raisi!
Kuna majitu kama kinana,kikwete, warioba, wanapenda, kutuaminisha bila wao na CCM, nchi itakufa! Tunajua, kwanini wanangangania madaraka ni, ni majizi
Swadakta sheikh wangu

Swadakita sheikh wangu
 
..Chadema wanataka muungano wa serikali 3 ili Raisi wa muungano, bila kujali anatokea Znz au Tgk, asiingilie mambo yasiyo ya muungano.

..Ugomvi wa Chadema na Samia ni jinsi anavyogawa bila uchungu rasilimali za Watgk, na pia kuhamisha ndugu zetu Wamaasai toka maeneo yao ya asili.
Hoja zijibiwe kwa hoja. suala hapa ni Katiba Mpya. Tuwasikilize wananchi wanasema nini, tusingojee hadi hali imechafuka
 
Kilomita 10 Unaziona Chache Mkuu...
Kuna maeneo Zanzibar wanachukua Wilaya nzima kama Pangani, Bagamoyo ila Kuna siri ndefu sana kuhusu Mipaka mkuu..

Kama angegombea Iringa au Sumbawanga Mimi ningedoubt ila hapo kinondoni ambalo ni eneo Gombanifu na zanzibar sina cha Kuongeza
Hussein Mwinyi naye aligombea Tanganyika ubunge je ni sawa kimtizamo.Tushughlike na katiba ndiyo suluhisho
 
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni [emoji209][emoji91]
Walifanya hivyo sababu ya udhaifu na matobo ya Muungano.

Kwa kuwa wanayajua hayao madhaifu ndio maana wanapigana yatatuliwe ili kuzuia ishu kama hizo
 
Back
Top Bottom