Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

..hayo maeneo Sultani aliyauza kwa Wajerumani miaka ya 1800 huko.

..Wazanzibari kama wana ubavu waidai Mombasa maana ilikuwa ya kwao mpaka mwaka 1963.
Mbona Bagamoyo wanaidai na Iliyanganzwa kwenye Vyombo vya Habari na Baadhi ya Sehenu tayari wameshaichukua
 
Kumbuka vyama vyote hata vingeingia madarakani bado vingetawala kwa mjibu wa Katiba ya JMT! Sasa kama Katiba inasema kila mtanzania ana haki ya kugombea jimbo lolote Tanzania,Mkuu kosa liko wapi?
Kwahiyo katiba hii iliyopo haina shida.
 
Sasa hapo shida ni nini
Lisu anasema sinhaki mzanzibar kugombea Tanganyika wakati Mtanganyika hawezi gombea Zanzibar Sasa huyo Mwalimu ni Mzanzibar mia Kwa mia Kwa Nini Chadema walimpa kuwa mgombea ubunge Kinondoni Tanganyika na sio kumpa ugombea ubunge kisiwandui au jimbo lolote Zanzibar ? Kwa Nini walimpa Tanganyika? wakati ni mzanzibar asilimia 100? Wakamnyima huyo nafadi mtanganyika wakampa mzanzibar
 
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni 🐼🔥

Zilonga mbali, zitenda mbali zaidi
 
Umeongea point tupu 😂😂
 
..anapoteua Mzanzibari ktk nafasi ambayo hawastahili unataka watu waseme?

..kwa mfano, Mzanzibar hapaswi kuteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya huku Tanganyika, lakini ameteua. Je, unataka Watanganyika wakae kimya?

Kasema nani kuwa hapaswi kumteua?
 
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni 🐼🔥
Kwa nini unataka kuposha mambo. Kwani CHADEMA waliwahi kusema mzanzibar hapaswi kuwa rais?
 
Back
Top Bottom