johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio muheshimuni Rais sasa bila kujali Utanganyika au Uzanzibar wake!Kumbuka vyama vyote hata vingeingia madarakani bado vingetawala kwa mjibu wa Katiba ya JMT! Sasa kama Katiba inasema kila mtanzania ana haki ya kugombea jimbo lolote Tanzania,Mkuu kosa liko wapi?
Kwani Rais siyo Mzanzibar? Siyo kosa kumwita Rais ni Mzanzibar kwa sababu ana kitambulisho cha Mzanzibar!Ndio muheshimuni Rais sasa bila kujali Utanganyika au Uzanzibar wake!
HIyo inaitwa ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu!
Wakati anagawa hizo rasilimali zenu Wabunge wenu wanakuwa wapi?..Chadema wanataka muungano wa serikali 3 ili Raisi wa muungano, bila kujali anatokea Znz au Tgk, asiingilie mambo yasiyo ya muungano.
..Ugomvi wa Chadema na Samia ni jinsi anavyogawa bila uchungu rasilimali za Watgk, na pia kuhamisha ndugu zetu Wamaasai toka maeneo yao ya asili.
Ni lini Wanaccm walichukua fomu Katikati ya misimu miwili? 🐼..unazungumzia Mama Abduli.
..yeye anajiita Mzanzibari, sio Mtanzania, lakini ameng'ang'ania Uraisi wa Tanzania.
..pia amekataza wana-Ccm ambao ni Watz wasichukue fomu ya kutaka kugombea Uraisi.
Kwani Rais siyo Mzanzibar? Siyo kosa kumwita Rais ni Mzanzibar kwa sababu ana kitambulisho cha Mzanzibar!
Labda kisichopendeza ni kuhusisha yale anayoyafanya kama Rais na Uzanzibar wake.
Mwisho wengine hatuna vyama na tunamheshimu Rais wetu.
Wakati anagawa hizo rasilimali zenu Wabunge wenu wanakuwa wapi?
Wanajadili mambo ya Matiti ya vitoto 🐼
Ni lini Wanaccm walichukua fomu Katikati ya misimu miwili? 🐼
Huyo Shaka na Salum Mwalimu Wana tofauti gani?..anapoteua Mzanzibari ktk nafasi ambayo hawastahili unataka watu waseme?
..kwa mfano, Mzanzibar hapaswi kuteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya huku Tanganyika, lakini ameteua. Je, unataka Watanganyika wakae kimya?
Walisemea wapi?..Waznz wanasema wao sio Watanzania.
Sasa kama una SMZ utakosaje kuwa na Wazanzibar?!..Bungeni.
..Na kwenye Katiba yao.
Ipo wazi hata kipofu haitaji kuelekezwa kuwa yeye ni mzanzibar raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenye fomu inaeleweka utaratibu wa ccm kuwa kiongozi wao huongoza mihula miwili sasa hizi akili za mkimbizi maria sarungi kuwa kakataa mtz asichukue fomu naona udumavu wa akili wa wakosa hoja na sera!..unazungumzia Mama Abduli.
..yeye anajiita Mzanzibari, sio Mtanzania, lakini ameng'ang'ania Uraisi wa Tanzania.
..pia amekataza wana-Ccm ambao ni Watz wasichukue fomu ya kutaka kugombea Uraisi.
Kuna watu ni wajinga sana uwezo wa kufikiri ni mdogo sana,Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea
Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa
Ahsanteni 🐼🔥
Mzee wa kuuma na kupuliza😀Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea
Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa
Ahsanteni 🐼🔥
Usisahau kuna Maeneo Ya zanzibar Yaliyopo Tanganyika..Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa