johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Kilomita 10Usisahau kuna Maeneo Ya zanzibar Yaliyopo Tanganyika..
Kama maeneo ya Tanga..Baadhi ya Maeneo ya Dar, Baadhi ya maeneo ya Pwani ..
Kwahyo huenda walimpa agombee kipande cha Teritory ya zanzibar
Chadema kama Chadema wako poa!Mzee wa kuuma na kupuliza๐
Kwa hiyo unaona ilikuwa sahihi. Kwa hiyo tuzidi kutengeneza mikanganyiko ilihali katiba ya Zanzibar ina majibu kuhusu hili? Hv unasoma katiba ya Zanzibar sifa za wagombea? Awe mzanzibar, nyingine tunayolalamikia awe mtanzania siyo mtanganyika Kwa nn mzanzibar asigombee halafu wewe mtngnyk lini unaenda wete kugombea na si mzanzibar!Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea
Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa
Ahsanteni ๐ผ๐ฅ
Kilomita 10 Unaziona Chache Mkuu...Kilomita 10
Unatengeneza ubishi usio na maana tangu lini mzanzibar akasema yeye mtanzania siyo tu mtanzania hata kusema mtanzania visiwani kama ss tunaojiita waTanzania bara.Walisemea wapi?
Unachanganya Mambo bro! Katiba ya, nchi inaruhusu, mzenj kugombea Bara! Sio issue ya chadema, hata kama wao, wananufaika, haimaniishi, ni, sahihi! Chadema IPO TZ, lazima, ifate katiba hii hii! Inayoruhusu Raisi kuiba, kuua, lakini hawezi, shitakiwa, chadema wanataka ibadilishwe, ili hata wao wakiingia ikulu, washitakiwe wakienda kinyume, wangeweza kukaa kimya,ili siku wakiingia ikulu, wanufaike na wawe majambazi kama CCM, mbunge analipwa 250K kila siku, na wapimzani, wanapokea, je kwa vile wanapinga matumizi ya hovyo,hutaki watumie? Hata posho alizolipwa lisu, ni, kwa mujibu wa sheria sio hisani ya Lumumba!Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea
Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa
Ahsanteni ๐ผ๐ฅ
Zanzibar ni nchi ujueKwa hiyo unaona ilikuwa sahihi. Kwa hiyo tuzidi kutengeneza mikanganyiko ilihali katiba ya Zanzibar ina majibu kuhusu hili? Hv unasoma katiba ya Zanzibar sifa za wagombea? Awe mzanzibar, nyingine tunayolalamikia awe mtanzania siyo mtanganyika Kwa nn mzanzibar asigombee halafu wewe mtngnyk lini unaenda wete kugombea na si mzanzibar!
Wakijiita Wazanzibar wanavunja kifungu gani Cha Sheria na Katiba?Unatengeneza ubishi usio na maana tangu lini mzanzibar akasema yeye mtanzania siyo tu mtanzania hata kusema mtanzania visiwani kama ss tunaojiita waTanzania bara.
Usisahau kuna Maeneo Ya zanzibar Yaliyopo Tanganyika..
Kama maeneo ya Tanga..Baadhi ya Maeneo ya Dar, Baadhi ya maeneo ya Pwani ..
Kwahyo huenda walimpa agombee kipande cha Teritory ya zanzibar
Wakijiita Wazanzibar wanavunja kifungu gani Cha Sheria na Katiba?
Hakunaga anayelalamika ila tumawashangaeni tu ๐..sasa Ccm mnalalamika nini Cdm wakisema Mama Abdul ni Mzenji? Kwanini mnakereka?
Hakunaga anayelalamika ila tumawashangaeni tu ๐
Hapo Chadema mtanganyika ni nani?..hivi Ccm hakuna Watanganyika wa kum-challenge Mama Abduli? Wote hamna uchungu, wala uzalendo, na Tanganyika?
Swadakta sheikh wanguUnachanganya Mambo bro! Katiba ya, nchi inaruhusu, mzenj kugombea Bara! Sio issue ya chadema, hata kama wao, wananufaika, haimaniishi, ni, sahihi! Chadema IPO TZ, lazima, ifate katiba hii hii! Inayoruhusu Raisi kuiba, kuua, lakini hawezi, shitakiwa, chadema wanataka ibadilishwe, ili hata wao wakiingia ikulu, washitakiwe wakienda kinyume, wangeweza kukaa kimya,ili siku wakiingia ikulu, wanufaike na wawe majambazi kama CCM, mbunge analipwa 250K kila siku, na wapimzani, wanapokea, je kwa vile wanapinga matumizi ya hovyo,hutaki watumie? Hata posho alizolipwa lisu, ni, kwa mujibu wa sheria sio hisani ya Lumumba!
Bro hii nchi sio Mali ya CCM, bunge,ikulu, jeshi, tiss,takukuru sio taasisi za, CCM!
Nyie ma CCM jifunzeni kutoka Senegal, Rais wa, chama tawala kakubali kushindwa, kaachia madaraka! Kijana mbichi,ambae hajawahi hata kuwa diwani, kawa, Raisi!
Kuna majitu kama kinana,kikwete, warioba, wanapenda, kutuaminisha bila wao na CCM, nchi itakufa! Tunajua, kwanini wanangangania madaraka ni, ni majizi
Swadakita sheikh wanguUnachanganya Mambo bro! Katiba ya, nchi inaruhusu, mzenj kugombea Bara! Sio issue ya chadema, hata kama wao, wananufaika, haimaniishi, ni, sahihi! Chadema IPO TZ, lazima, ifate katiba hii hii! Inayoruhusu Raisi kuiba, kuua, lakini hawezi, shitakiwa, chadema wanataka ibadilishwe, ili hata wao wakiingia ikulu, washitakiwe wakienda kinyume, wangeweza kukaa kimya,ili siku wakiingia ikulu, wanufaike na wawe majambazi kama CCM, mbunge analipwa 250K kila siku, na wapimzani, wanapokea, je kwa vile wanapinga matumizi ya hovyo,hutaki watumie? Hata posho alizolipwa lisu, ni, kwa mujibu wa sheria sio hisani ya Lumumba!
Bro hii nchi sio Mali ya CCM, bunge,ikulu, jeshi, tiss,takukuru sio taasisi za, CCM!
Nyie ma CCM jifunzeni kutoka Senegal, Rais wa, chama tawala kakubali kushindwa, kaachia madaraka! Kijana mbichi,ambae hajawahi hata kuwa diwani, kawa, Raisi!
Kuna majitu kama kinana,kikwete, warioba, wanapenda, kutuaminisha bila wao na CCM, nchi itakufa! Tunajua, kwanini wanangangania madaraka ni, ni majizi
Hapo Chadema mtanganyika ni nani?
Mwenyekiti na Makamu Wamarekani
Katibu mkuu mkikuyu
Labda yule mgogo Benson tu ๐
Hoja zijibiwe kwa hoja. suala hapa ni Katiba Mpya. Tuwasikilize wananchi wanasema nini, tusingojee hadi hali imechafuka..Chadema wanataka muungano wa serikali 3 ili Raisi wa muungano, bila kujali anatokea Znz au Tgk, asiingilie mambo yasiyo ya muungano.
..Ugomvi wa Chadema na Samia ni jinsi anavyogawa bila uchungu rasilimali za Watgk, na pia kuhamisha ndugu zetu Wamaasai toka maeneo yao ya asili.
Hussein Mwinyi naye aligombea Tanganyika ubunge je ni sawa kimtizamo.Tushughlike na katiba ndiyo suluhishoKilomita 10 Unaziona Chache Mkuu...
Kuna maeneo Zanzibar wanachukua Wilaya nzima kama Pangani, Bagamoyo ila Kuna siri ndefu sana kuhusu Mipaka mkuu..
Kama angegombea Iringa au Sumbawanga Mimi ningedoubt ila hapo kinondoni ambalo ni eneo Gombanifu na zanzibar sina cha Kuongeza
Hata kwa Shujaa yule Membe alienda ACT wazalendo katika kuheshimu Utamaduni wa CCM..kwa hiyo Watanganyika wote mlioko Ccm mmeufyata kwa Mama wa Kizenji?
Walifanya hivyo sababu ya udhaifu na matobo ya Muungano.Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea
Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa
Ahsanteni [emoji209][emoji91]
Wakati anagawa hizo rasilimali zenu Wabunge wenu wanakuwa wapi?
Wanajadili mambo ya Matiti ya vitoto ๐ผ