Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni


..Na Husseni Mwinyi alikuwa mbunge wa Mkuranga.

..Katiba inawaruhusu Waznz kugombea ubunge wa MUUNGANO kwa majimbo ya Tanganyika, na Zanzibar.

..Sasa ili kutenda HAKI Zanzibar inatakiwa iondoe zuio la Watanganyika kugombea ubunge wa muungano kwa majimbo ya Zanzibar.
 
Ni hawa hawa
 
..katiba imebainisha mambo yapi ni ya muungano.

..ingekuwa kila kitu ruksa mambo ya muungano yasingebainishwa.

Na katiba haijasema kama kuna Mtanzania kipande, hata mzanzibari ni Mtanzania pia.
 

aliekwambia kuwa Mtanganyika haruhusiwi kugombea Ubunge Zanzibar ni nani?
 
Kwani Mwinyi si ndio kwao huko Mkuranga ..? afu wewe Joka la kibisa bure kabisa.
 
Kwa Rais wa JMT inasemaje?
 
Shida ndugu unajitoa hufaham ,hoja zote ambazo chadema wanajenga ni juu ya katiba ndo maana haya yote yanatokea , hivi mfano Tanganyika ikarudi zanzibar ikawa na mamlaka kamili ujinga huu hautakuepo kama ni serikali tatu wagombea wenza toka zanzibar wanaweza kutana kwenye serikali ndogo ya tatu ya Muungano basi

Sasa leo shaka anakua mkuu wa Wilaya Tanganyika pia shida yote ni katiba na muungano ulivyo kaa na katiba ni sheria mama so chadema wapo sahii sana shida vilaza ndo wanashindwa elewa hoja za chadema
 
Cha ajabu katiba wametengeneza wao kelele wanapiga wao watangayika kwa makelele hawna spare.

..kwani hakuna Waznz waliohusika kutengeneza Katiba ya muungano?

..Tunachosema ni Katiba imepitwa na wakati, hivyo ufanyiwe marekebisho makubwa au iandikwe upya.

..Hii Katiba iliandikwa kwa madhumuni kwamba siku moja Zanzibar itakuja kumezwa. Tanganyika ilifutwa ili baadae upatikane uhalali wa kuifuta Zanzibar.

..Sasa hivi watu wanaona jambo hilo sio sawa. Na walijieleza vizuri sana Tume ya Warioba ilipowafikia. Ndio maana Tume imependekeza TANGANYIKA irejeshwe.
 
Inawezekana walihusishwa na ndio maana kukawa na kipengele cha makamu wa Rais awe
Mzanzibar na mambo mengine kama sarafu , ulinzi nk .... Mkuu Mungu fundi trust me kilichotokea hadi sasa
mnaona mapicha picha tu na ndio maana kelele zimekuwa nyingi hakuna aliyewaza kama kuna siku Rais atakufa na
katiba itamuweka Mzanzibar awe Rais na hapo ndio kunawajambisha dadaki.
 
Salum wa chadema Hana tabia ya kuuza hovyo Mali za wa Tanganyika na kuacha za Zanzibar kama anachofanya huyu maza kama wanavyolazimisha chawa tumwite mother wakati siyo mama yetu
 
Unaelewa maana ya Tanzania Bara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…