Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.

Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.

Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
makande
 
Afunaona watu wanaongea sana wakati ubavu wakukwepa baadhi ya misosi mnayoidis ni midogo. ...mf ugali unaukwepaje bora kande unaeza mwaka ukapita ujala. ..tuache ushabiki usjonatija unaanzaje kuponda chakula ambacho ndio kila siku unakila niujinga
Ndio maajabu ya watanzania halafu wengi wao ndio msosi wao mkuu kila day
 
Mungu amenipa Neema ya kula kila aina ya chakula cha kiafrika nikimaanisha makabila yote. Vingine ninapunguza tu kwa kutaka kuwa health kama red meat na starch nyingi but ninakula kiasi. Praise to our Lord.
 
Makande.
Mboga za majani jamii ya kunde zote.
Ndizi za kupika maliza ufundi wako wote.
Ugali/wali maharage.
Ugali maziwa/mtindi.
mlenda.

Hivyo vyakula hapo juu HATA KAMA SIJALA MWAKA MZIMA SITOKULA.
Aise pole mkuu. Shemeji yako alinifundisha kula dona la mtindi. Nimelizoea na ndizi anapika anaweka maharage kwa mitindo tofautitifauti. Wachagga wanajua mapishi acha kabisa.
 
Back
Top Bottom