Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.

Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.

Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
mi kama ww, ndiz za kupika sitak ata kukaribishwa

*kwel tuzuie kifo tu kwa kuzila
 
Hhaa tusiopenda makande tupo wengii kumbeee...enzi za utoto kila jumamosi home wanapika yaani sikua nataman jumamosi ifikee cz sikuiyo napiga pasi ndeeefuu mpk kesho yske jumapili nasubiri kitu cha ubwabwa( enzi hizo ubwabwa unapikwa jumapili tuu)[emoji6][emoji6][emoji2][emoji2]
 
Dah mkuu wewe ndugu yangu nini????

Niliishamwambiaga mama hata akatiemo hela, sitazipenda.
Haaaaaa umenichekesha mimi walipika nikawambia sili hizi ndizi wakajua nazingua usiku wananikaribisha wakashangaa nimechukua sufuria naenda kipika ugali looooh walishangaa toka siku hiyo huwa naandaliwa chakula tofauti
 
Mbona ipo masokoni shost
sory mimi natafuta hii
lettuce2.jpg
 
Back
Top Bottom