Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Nauliza kile chenye nguvu, kuhusu matunda n.k inaruhusiwa kukamilisha mlo kamili.

Ila ni kipi waweza kula mwaka mzima.

Mimi wali na maharage asubuhi mpaka jioni, kiporo n.k mwaka mzima na sasa nimeshasahau radha ya vyakula vingine kama ugali.

Mh, nashangaa sana wanaokinaiwa na wali huwa Machangu mboga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…