Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Siku nikimgundua aliyegundua hiyo combo nitajitolea kumjengea sanamu la ukumbusho kabisa. Yaani kinafit sehemu zote iwe ni breakfast, lunch, supper au dinner.
😀 😀 😀 😀 😀Chipsi
Mmh unalala peke yako?Kande la njugumawe na ubwabwa
Na choroko ilopikwa pamoja na ubwabwa na ukishushia maziwa mtindi...
Iwe ni ya kaya iweBada na hombo
Ha ha ha ha ha ha haMmh unalala peke yako?
😂😂😂basi sawa maana ninaona unazalisha mtambo wa carbon dioxideHa ha ha ha ha ha ha
Kwani kuna nini unadhani?
Wawili tunalala
Napenda sana hiyo combination sema hiyo 'gas' huwa inakata kabisa hamu ya huo msosi[emoji23][emoji23][emoji23]basi sawa maana ninaona unazalisha mtambo wa carbon dioxide
Hao dagaa huwa ninawakubali sana, unaweza kujikuta unafuta ugali wa watu wanne pekeyako.
Zote zotemh mh za kukaanga au za kuunga?