Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.

Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili.

(Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA MAJALIWA 😂).

Nchi haiwezi kuongozwa kama sehem ya majaribio

Nchi haiwezi Ongozwa na watu wapokeao maelekezo ya Mabeberu.
 
Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.

Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje....

Kama CCM imeongoza nchi hii miaka 60 na bado nchi ni masikini, basi chama au kikundi chochote kinaweza kuongoza nchi hii. Hao unaowaita dola kuwa hawawezi kuruhusu hilo, sio kwa vipimo vya ubora, bali CCM inapokuwa madarakani inawahakikishia ulaji wao, na wanaogopa kikija chama kingine maslahi yao binafsi yatapotea.
 
Back
Top Bottom