Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

TANZANIA HAINA HATA CHAMA KIMOJA CHA UPINZANI.

Hao wote akina
Mtei.
Bob makani.
LIPUMBA.
Mwaiseje.
Mbatia.
Maalum.

Ni vijana walioandaliwa na kupikwa na Nyerere, kwa ujanja ujanja na UHUNI mwingi.
 
Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.

Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje , na Kwa mantiki hiyo, DOLA ,hautokaa kuliruhusu hili .

( Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA MAJALIWA 😂).

Nchi haiwezi kuongozwa kama sehem ya majaribio

Nchi haiwezi Ongozwa na watu wapokeao maelekezo ya Mabeberu.
Tanzania Hakuna Vyama vya upinzani Bali machoko wenye njaa na uroho wa madaraka tuu.
 
Afrika haihitaji vyama kuleta Maendeleo .
Tunahitaji MTU mmoja atakayeleta mageuzi ya kimifumo na kifikra.

Hakuna chama kinachogundua teknolojia Mpya lakini Yupo MTU Mmoja au Wawili Tuu. Hata ubunifu SIO Suala la watu wengi Bali ni MTU Mmoja wengine wafuate !

Magufuli kama asingepata upinzani MAKUBWA Ndani ya CCM na upinzani hasa Chadema na ACT angeipeleka Mbali sana Tanzania na Afrika Kwa Ujumla.

Dr. Slaa na Uzee wake lakini ni Kiongozi makini na mwenye msimamo na maono. Lakini Ana upinzani mkali sana kwenye vyama vya Siasa .

Vyama vibaki kama vyama Lakini nchi ni Lazima iwe na taasisi za kiutendaji zinazojiendesha kisheria na kikatiba. WANASIASA wasisiamamie wataalamu. Sheria ziwabane watu wote hasa WANASIASA walaghai
 
Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.

Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje , na Kwa mantiki hiyo, DOLA ,hautokaa kuliruhusu hili .

( Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA MAJALIWA 😂).

Nchi haiwezi kuongozwa kama sehem ya majaribio

Nchi haiwezi Ongozwa na watu wapokeao maelekezo ya Mabeberu.
Mpaka sasa ni vigumu kuona chama gani mbadala wa CCM na ndivyo ilivyokuwa wakati wa mapambano ya Uhuru ambapo ilionekana kabisaa kuwa Watanzania bado sana ila kupitia viongozi wachache waliamua kujitoa mhanga kuonesha uwezo wa kuwaunganisha Watanzania ili wajiongoze.

Leo tunaweza kusema kuna vyama.vyenye ushawishi ambavyo ni
CHADEMA
ACT
CUF
NCCR Mageuzi
Hivyo kidogo vina organization inayoweza kusomeka lakini kutokana na programu kabambe za CCM na Serikali kuweka mapandikizi huko upinzani vinaonekana kana kwamba havina uelekeo.

Amin amin nakuambia, nchi inaweza kuongozwa na chama mbadala kwa sababu zifuatazo.
  1. Kitaongoza dola kwa mujibu wa katiba, sheria na ilani yao ya uchaguzi iliyoshinda.
  2. Kitasimamia na kuheshimu katiba hususani eneo la kuzihusisha sekta za ulinzi na usalama ziishi kwenye utii wa katiba wa kutojiingiza kwenye siasa na kuiharibu nchi. Mfano mzuri wakuu wa mikoa kutoka jeshini.... ni wajumbe wa kamati za siasa za CCM ngazi ya mkoa...
  3. Chama hiko kitawajibika kuushawishi umma wa wapigakura waendelee kuwaamini hivyo wataendesha nchi kwa mfumo shirikishi na uwazi.
  4. Uchawa utasambaratika na watu wanaitshi kwenye legacy ili kukubalika....

Tatizo ni kwamba, wapinzani wana haraka mno wanakwepa kujenga misingi ya demokrasia na siasa safi nje ya siasa majitaka zilizostawishwa na CCM kwa usaidizi wa dola
 
Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.

Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje , na Kwa mantiki hiyo, DOLA ,hautokaa kuliruhusu hili .

( Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA MAJALIWA 😂).

Nchi haiwezi kuongozwa kama sehem ya majaribio

Nchi haiwezi Ongozwa na watu wapokeao maelekezo ya Mabeberu.
Mjadala ungekuwa kwanini hakuna chama kilichoweza kuiendesha vyema nchi hii.
 
Mfumo uliopo unaoletwa na Katiba iliyochoka (1977) ndiyo unafanya mauzauza haya; cha msingi kwanza ni kubadilisha katiba, na baadhi ya sheria kama kweli tunataka kupiga hatua kimaendeleo.

Kama hatutaki kubadili katiba basi wacha CCM waendelee kutawala, sababu kwa katiba hii HUWEZI kuwatoa madarakani kwa namna yoyote ile na wao wataendelea kutawala nchi watakavyo sababu katiba inawalinda.
 
Ni CDM pekee hakuna kingine i swear kwani wana hofu ya Mungu.
CCM walishaachana na Mungu wako na "yule mwingine"
 
Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.

Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje , na Kwa mantiki hiyo, DOLA ,hautokaa kuliruhusu hili .

( Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA MAJALIWA [emoji23]).

Nchi haiwezi kuongozwa kama sehem ya majaribio

Nchi haiwezi Ongozwa na watu wapokeao maelekezo ya Mabeberu.
Only ACT raisi awe zitokabwe kudadek wataisoma namba
 
Back
Top Bottom