Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Acha ujingaChadema
Hutaki?Acha ujinga
unafikir wewe na familia yako ndo mnaamua chama cha kuongoza nchi hiiAcha ujinga
chama cha mzee wetu mzee wa ubwabwa yuleKama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa...
Kwa Siasa na Wana Siasa gan?.Chadema
Nimecheka mpaka waliolala wameamka..😃😃😃😃Acha ujinga
Haya maswali ya kulishwa hayawapi sana heshima vijana au mtu anayejitambua. Uchaguzi utakuja watajieleza.Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.
Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje , na Kwa mantiki hiyo...
Hakuna nasema Kwa huzuni kubwa.Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.
Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje...
Wanafiki nyie.Hakuna nasema Kwa huzuni kubwa.
falsafa za chadema wewe ndo unazipima kama zinaeleweka yan wew ndo kipimo cha falsafa za chadema umeshindwa kuelewa falsafa zenu za majambaz ya kura huko ccm uje uelewe falsafa za chadema unaakili kweli wewe.Kwa Siasa na Wana Siasa gan?.
Chama hata Falsafa zake hazieleweki
Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.
Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje....
Kwa Siasa na Wana Siasa gan?.
Chama hata Falsafa zake hazieleweki
.. Kabisa...kila marefu yana ncha.Muda utaamua.
CCM haiwezi kutawala hata zaidi ya miaka 20 ijayo.
Believe me or not.