Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Al arabiaNikaombe wapi mkuu
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
PoaNashukuru mkuu kwa majibu yako ntalifuatilia hili
Kama ni mwaka ni tatizo ila ingekua atleast miezi mitatu freshiNimepata dharula ambyo itanifanya niwe nje ya Tanzania kwa mwaka mzima.
24. wombaji wa ajira ambaye hataripoti katikaNimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).