Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?

Hakuna. Watu wengi tu wanaitwa na hawaendi wanasubiri wakipata sehemu nzuri wanaenda
 
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?

Kama chdck number hujapata haina tatizo lolote. We nenda shule ukimaliza ukirudi usiombe tena hizo mambo za TAMISEMI.​
 
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
24. wombaji wa ajira ambaye hataripoti katika
kituo cha kazi alichopangiwa bila kutoa sababu za msingi
hatapangiwa tena kituo kingine cha kazi na hatafikiriwa
kwa mara nyingine pindi atakapowasilisha maombi ya kazi
yenye sifa zile zile za kazi aliyoiomba awali katika
Utumishi wa Umma.

25. Endapo waombaji wa ajira waliotajwa katika
kanuni ya 24 watapata sifa za juu za kazi walizoomba
awali wataweza kufikiriwa
 
Ni ajira za kada ipi kama hizi za walimu nadhan changamoto inaweza wepo Ila zile za kupambana na usairi hazina shida yoyote utapoteza nafasi yako Ata pewa mwngine na utakuwa na uwezo wa kuomba Tena kazi Bila shida
 
Hizi za afya mkuu
 
Back
Top Bottom