Ni cheche: Diamond atuwakilisha vilivyo katika hafla ya tuzo za FIFA Misri

Sina utozi kwenye chenchi, hata insta nina picha mbaya maana sina pozi kwenye selfie/
 
Mbona hiyo ni kawaida kwa Wabongo kwenda kwenye sherehe au shughuli kuomba kupiga vipicha na watu ili kuuza sura,.

Vishabiki Uchwara vya WCB hapo vinaojiona kama vimelitangaza taifa kwa hivi vipicha vya kawaida,. Hakina Samatta wanaojulikana Dunia nzima na walitizamwa na dunia nzima Akimgalagaza golikipa bora wa dunia na kutia nyavu mbele ya beki wa Dunia, Hawana mi Show off ya kinga Ya namna hii,

Vikik vya kijinga jinga vya kutaka kutrend kwa vipicha ambavyo hao uliowaomba kupiga nao watavifuta wakiwa wana View kwenye ndege havitokupeka popote, huna hit song kwa mda sasa Unavizia kurudia vinyimbo vya wasanii wenzio umeishiwa Idea unategemea kutrend kwa bifu la Diva na Vipicha, hahaha akina Dimpoz walipiga picha na Akina Rooney ila hawakuwa na upimbi wa Namna hii,.

Manyonyo na Yule Mganga utakuta nao wanatamba uko Insta na hivi vipicha utadhani wamechua tuzo
 
IMEFIKA WAKATI SERIKALI ITAMBUA JITIHADA ZA HUYU JAMAA OFFICIALLY, AWE RECOGNIZED KAMA SHUJAA WA TAIFA.
KUNA WASANII WANGAP AFRIKA ILA KIJANA WETU NI MARA YA PILI ANA PERFOM PALE??TUWEKE WIVU WA KITANZANIA PEMBENI KWA HILI
Kwa Kipi haswa alichokifanya kwa taifa hili,.?

Eti mara ya pili kijana wetu ana perform pale taifa limuangalie, hizi akili za kijinga Mnanunua Wapi?
 
USIENDEKEZE HISIA ZA CHUKI NA WIVU
Wivu Uko Wapi hapo,. Hivi Samatta na huyu Makik Nani analitangaza Taifa? Samatta anashawishi Mpaka Watalii wanakuja na Taifa linaingiza pato, acheni ushabiki wa kimahaba

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Mbona hiyo ni kawaida kwa Wabongo kwenda kwenye sherehe au shughuli kuomba kupiga vipicha na watu ili kuuza sura,.

Vishabiki Uchwara vya WCB hapo vinaojiona kama vimelitangaza taifa kwa hivi vipicha vya kawaida,. Hakina Samatta wanaojulikana Dunia nzima na walitizamwa na dunia nzima Akimgalagaza golikipa bora wa dunia na kutia nyavu mbele ya beki wa Dunia, Hawana mi Show off ya kinga Ya namna hii,

Vikik vya kijinga jinga vya kutaka kutrend kwa vipicha ambavyo hao uliowaomba kupiga nao watavifuta wakiwa wana View kwenye ndege havitokupeka popote, huna hit song kwa mda sasa Unavizia kurudia vinyimbo vya wasanii wenzio umeishiwa Idea unategemea kutrend kwa bifu la Diva na Vipicha, hahaha akina Dimpoz walipiga picha na Akina Rooney ila hawakuwa na upimbi wa Namna hii,.

Manyonyo na Yule Mganga utakuta nao wanatamba uko Insta na hivi vipicha utadhani wamechua tuzo
Duh! Mkuu acha ushirikina ase, mkali anapambania mambo yake fresh kabisa Cjui kwann una mind
 
Dogo anagombaniwa kupata selfie huko misri makao makuu ya shirikisho la mpira wa miguu Africa CAF, mpaka unawaza kwa nini wale jamaa wanasema dogo amekuwa mlima so aumbiwe sanamu! View attachment 1316482View attachment 1316484View attachment 1316485View attachment 1316486View attachment 1316487View attachment 1316488View attachment 1316489View attachment 1316490View attachment 1316492View attachment 1316493
Naona kama ni jitihada kutoka kwa mameneja wake japo kama taifa tunaingia kwa kunyata kwenye kuitangaza nchi kwa kazi zake nje ya mipaka yetu.
Hongereni sana managements ya wasafi Tale, Fela na SK kwa Kazi nzuri, Mond amefika kilele cha "Kilimanjaro"sasa tuendelee kumpereka kilele cha Everest.
Wavimba macho wa bongo, acheni mishuzi iwatoke.
Ushauri wangu kwenu chukueni na msanii mwingine ndani ya wasafi mumfikishe hapo alipofika Mond au zaidi lakini bila kuwagombanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond ni mjanja mjanja tu.. hizo selfie kanunua. Kalipa hela ili hao watu wapige nae Show off Selfie..

Alisikika Abdu kiba akiongea na Omy dimpoz
Chupi zitwabana sana mala hii, kama namuona kiba na mdogo wake Abdul, mimacho inavyowatoka,
Kiba, muache Abdul aende wasafi atafanikiwa zaidi, tangu atoe wimbo wa huyo sio dem, wimbo wake mzuri mwingine ni shery Coco, pathetic!! At a span of seven years!!!
Ushauri wangu kwa kiba, Diamond ana kitu kinaitwa "Charisma"ni mvuto kutoka ndani, unazaliwa nao, huwezi kuutengeneza. kama hauna, hauna tu, hii kitu hata Mhe Raisi mstaafu Kikwete anayo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo anagombaniwa kupata selfie huko misri makao makuu ya shirikisho la mpira wa miguu Africa CAF, mpaka unawaza kwa nini wale jamaa wanasema dogo amekuwa mlima so aumbiwe sanamu! View attachment 1316482View attachment 1316484View attachment 1316485View attachment 1316486View attachment 1316487View attachment 1316488View attachment 1316489View attachment 1316490View attachment 1316492View attachment 1316493
Naona kama ni jitihada kutoka kwa mameneja wake japo kama taifa tunaingia kwa kunyata kwenye kuitangaza nchi kwa kazi zake nje ya mipaka yetu.
Nchi inatangazwa Kwa Ndombolo na Baba Lao. Ila Diamond Nyingi amekuinua. Inapasa uwe mtu wa haki.
 
Mbona hiyo ni kawaida kwa Wabongo kwenda kwenye sherehe au shughuli kuomba kupiga vipicha na watu ili kuuza sura,.

Vishabiki Uchwara vya WCB hapo vinaojiona kama vimelitangaza taifa kwa hivi vipicha vya kawaida,. Hakina Samatta wanaojulikana Dunia nzima na walitizamwa na dunia nzima Akimgalagaza golikipa bora wa dunia na kutia nyavu mbele ya beki wa Dunia, Hawana mi Show off ya kinga Ya namna hii,

Vikik vya kijinga jinga vya kutaka kutrend kwa vipicha ambavyo hao uliowaomba kupiga nao watavifuta wakiwa wana View kwenye ndege havitokupeka popote, huna hit song kwa mda sasa Unavizia kurudia vinyimbo vya wasanii wenzio umeishiwa Idea unategemea kutrend kwa bifu la Diva na Vipicha, hahaha akina Dimpoz walipiga picha na Akina Rooney ila hawakuwa na upimbi wa Namna hii,.

Manyonyo na Yule Mganga utakuta nao wanatamba uko Insta na hivi vipicha utadhani wamechua tuzo

Sawa Diva tumekuskia..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom