Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

1. Mr bean huwa sichoki kumuangalia.
2. Mc trick wa churchill
3. Sean bridon(hawa jamaa kuna clip yao moja nilicheka mpaka nikakaukiwa)
4. Tx dullah kwa mbaali namzingatia
 
1.Mr del07
2.Senga& pembe
3.crazy kennar
4.charlie chuplin& Mr bean
5.ze comedy wale wa zamani wakina Asha ngedere.

Picha ni Mr.del07

Screenshot_20240206-093608.png
 
Back
Top Bottom