Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

Wale classic ndiyo naona walikuwa na pure comedy

1.charlie chaplin

2. Buster keaton (huyu jamaa perfomance zake zilikuwa za kweli na ni very risky, kama angekosea hata kidogo basi angeweza kufia kwenye acting ).

3. Stan Laurel and Oliver Hardy
4. Charley Chase
5. Harold Lloyd
6. Harry Langdon
7. Mabel Normand
8. Roscoe Arbuckle
9. Douglas Fairbanks
10. Raymond Griffith

Hao ndiyo kumi bora kwangu.
 
Huu uzi wa hovyo. Hao wamarekani na kiingereza chao ni ngumu sana kunichekesha. ze comedy ya kina masanja ndo pekee niliyoikubali.
 
🤣🤣🤣 Kwakweli japo anachekesha mi hapana sshv Eliud
Ina nimegundua Kila mtu na zama zake kina joti walikuwa vzr sn na wao
Eliud nampendea lafudhi yake ya kiha!

Sijui ni lafudhi ya kiha ile au kabila gani?

Kanachekesha na masuti yake ya njano 🤣🤣
 
Eliud nampendea lafudhi yake ya kiha!

Sijui ni lafudhi ya kiha ile au kabila gani?

Kanachekesha na masuti yake ya njano 🤣🤣
Mnyakyusa pure,mwaisa yule🤣
Yaani na hivi kakulia mbeya basi anaongea lafudhi ya kwao .

Kwenye series'ya jua Kali kwenye ile familia ya kinyakyusa ametisha sn

Suit ya njano tu yenyewe mi inanichekesha🤣🤣🤣🤣
 
Huu uzi wa hovyo. Hao wamarekani na kiingereza chao ni ngumu sana kunichekesha. ze comedy ya kina masanja ndo pekee niliyoikubali.
Umasikini wa kichwa chako sio wa kila mtu.

Upumbavu wako wa fikra zako usitake uwe wa kila mtu humu.

Anyway, usiku mwema , lala uote vitu vya kijinga kama ulivyo mjinga alafu aamka ufanye upumbavu kama ulivyo pumbavu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana... inaonekana una wito mkubwa wa kupigania tasnia yako ya UPUMBAVU.
 
Back
Top Bottom