Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

Yan huu uzi kumkosa Kevin hart umeshakua batili
 
Eddie Griffin, Dave Chappele, Airie Spears, Cat Williams, Mike Epps, ila Eddie ni hatari sana ila watu wengi hawampendi because of the N word, ila kwangu ndio huwa namba 1.
 
Kuna somebody anajiita ,"YOMBO MSUKUMA" anakuja kasi sana huyu jamaa 😅
 
1707253829497.png
 
Back
Top Bottom