Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

1. Mr bean huwa sichoki kumuangalia.
2. Mc trick wa churchill
3. Sean bridon(hawa jamaa kuna clip yao moja nilicheka mpaka nikakaukiwa)
4. Tx dullah kwa mbaali namzingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…