grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
1: Adam Sandler
View attachment 2895298
2: Jim Carrey
View attachment 2895300
3: Will Ferrell
View attachment 2895306
4: Nick Swardson
View attachment 2895310
5: Katt Williams
View attachment 2895315
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiihhhhhhhhhh YeleeeuwiiiiiiiiiiiiihhKabisaa eliud noma
Hatumii nguvu aisee,anaongea km hataki
We km mi hao wa kutumia vitu sijui akunje sura sipendi
Wifi Ake lamomy veepe jmn kwemaUwiiiiiiiiiiiiiiiiiihhhhhhhhhh Yeleeeuwiiiiiiiiiiiiihh
Sijamboo mama za uzima?Wifi Ake lamomy veepe jmn kwema
Namshukuru Mungu Niko salamaaa kaisaaaSijamboo mama za uzima?
iko poa sana, namuangalia kingwendu hapa.Namshukuru Mungu Niko salamaaa kaisaaa
J3 inasemaje
🤣🤣🤣 Kwakweli japo anachekesha mi hapana sshv Eliudiko poa sana, namuangalia kingwendu hapa.
Sema nalo huwa linakaza uso mdomo unaenda upande jamanii
Eliud nampendea lafudhi yake ya kiha!🤣🤣🤣 Kwakweli japo anachekesha mi hapana sshv Eliud
Ina nimegundua Kila mtu na zama zake kina joti walikuwa vzr sn na wao
Mnyakyusa pure,mwaisa yule🤣Eliud nampendea lafudhi yake ya kiha!
Sijui ni lafudhi ya kiha ile au kabila gani?
Kanachekesha na masuti yake ya njano 🤣🤣
Martin Lawrence1: Adam Sandler
View attachment 2895298
2: Jim Carrey
View attachment 2895300
3: Will Ferrell
View attachment 2895306
4: Nick Swardson
View attachment 2895310
5: Katt Williams
View attachment 2895315
Umasikini wa kichwa chako sio wa kila mtu.Huu uzi wa hovyo. Hao wamarekani na kiingereza chao ni ngumu sana kunichekesha. ze comedy ya kina masanja ndo pekee niliyoikubali.
Hongera sana... inaonekana una wito mkubwa wa kupigania tasnia yako ya UPUMBAVU.Umasikini wa kichwa chako sio wa kila mtu.
Upumbavu wako wa fikra zako usitake uwe wa kila mtu humu.
Anyway, usiku mwema , lala uote vitu vya kijinga kama ulivyo mjinga alafu aamka ufanye upumbavu kama ulivyo pumbavu.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Sio zaidi yako kichwa majiHongera sana... inaonekana una wito mkubwa wa kupigania tasnia yako ya UPUMBAVU.