Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Uzi unauliza"Ni mtu gani uliwahi kukutana nae na unamtafuta hadi leo"
Post iliyonichekesha ni ya mdau mmoja anaitwa magnifico alicoment hivi
"Kuna kijana alinipiga Kofi wakati wa mjadala wa katiba mpya bado namfatuta"
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hii koment ilinichekesha sana hasa ukirefer waziri mkuu fulani ilisadikika alipigwa Kofi na kijana mmoja ambaye sasa ni mkuu wa Mkoa fulani tz![emoji23]View attachment 1401933
Sent using Jamii Forums mobile app
Copy link ya huo uzi kisha paste katika reply, kazi kwisha.
Habari zenu wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwa sisi ambao tunapenda sana kucheka [emoji16][emoji16], JF imekuwa na mchango mkubwa sana katika kutusaidia kupunguza stress kupitia michango ya wadau mbalimbali.
Ninaamini kila mtu ameshakutana na comments nyingi ambazo yeye binafsi anaona zilimchekesha, na kinachomchekesha mmoja siyo lazima kimchekeshe mwingine maana tunatofautiana.
Kuna ile comment mtu unacheka, unalike hiyo comment iliyokuchekesha, yanapita unasahau then maisha mengine yanaendelea, ila ninaamini kila mtu ana ile comment moja humu ambayo ilimchekesha kuliko zote kiasi kwamba hajaisahau hadi leo na akiikumbuka bado anacheka.
Siyo vibaya kama ukimtaja mtoa comment, kichwa cha uzi ambao hiyo comment inapatikana, pamoja na kunukuu hiyo comment yenyewe, kama bado utakuwa unakumbuka hivyo vyote.
Mimi binafsi comment iliyonichekesha kuliko zote ni ya mdau mmoja hivi anajiita GeoMex kwenye uzi mmoja wa Mshana Jr wenye kichwa kinachosomeka "Tafsiri ya kukutana kimwili", ambapo kwa ufupi mada ilikuwa inasema kuwa siku hizi watu wengi wanakutana kimwili ili mradi tu as unakuta tendo wanafanya watu wawili ila mmoja tu ndiyo anashughulika huku mwingine haoneshi ushirikiano wowote.
Sasa huyo jamaa niliyemtaja hapo juu akacomment hivi, "Teh teh teh kama baba askofu Gwajiboy, anakata viuno na makalio kabana kama mfuniko wa kopo la kimbo binti hana habari" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], akirefer ile video ya ngono iliyosambaa ya askofu Gwajima na yule dada.
Aiseee nikiri kuwa tangu nimejiunga JF nimekutana na comments nyingi zimenichekesha na nyingi nimeshazisahau, ila hiyo comment jamani ni ya tangu mwaka jana ila hadi leo ikinijia kichwani huwa nacheka peke yangu na huwa najiuliza watu sijui wanawazaga nini yaani.
Yawezekana zipo comments nyingi humu za kuchekesha ambazo hatujakutana nazo, wewe taja japo moja tu kati ya zile ulizowahi kukutana nazo, ambayo kwako binafsi hadi leo unaona ndiyo the most humorous of all the comments you've come across in here, ili tuzijue na nyingine ambazo zinachekesha ila hatujawahi kukutana nazo tucheke wote.
Jiongeze bro! Tunda hilo la bure.We jamaa wewe una kumbukumbu balaaa
Kuna Uzi unauliza"Ni mtu gani uliwahi kukutana nae na unamtafuta hadi leo"
Post iliyonichekesha ni ya mdau mmoja anaitwa magnifico alicoment hivi
"Kuna kijana alinipiga Kofi wakati wa mjadala wa katiba mpya bado namfatuta"
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hii koment ilinichekesha sana hasa ukirefer waziri mkuu fulani ilisadikika alipigwa Kofi na kijana mmoja ambaye sasa ni mkuu wa Mkoa fulani tz![emoji23]View attachment 1401933
Sent using Jamii Forums mobile app
JF chef, mwanzishaji ZurieJukwaa gani na nitajie aloanzisha hiyo thread
Mmh[emoji853][emoji853]Copy link ya huo uzi kisha paste katika reply, kazi kwisha.