Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Kuna Uzi unauliza"Ni mtu gani uliwahi kukutana nae na unamtafuta hadi leo"

Post iliyonichekesha ni ya mdau mmoja anaitwa magnifico alicoment hivi

"Kuna kijana alinipiga Kofi wakati wa mjadala wa katiba mpya bado namfatuta"

[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hii koment ilinichekesha sana hasa ukirefer waziri mkuu fulani ilisadikika alipigwa Kofi na kijana mmoja ambaye sasa ni mkuu wa Mkoa fulani tz![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

We jamaa wewe una kumbukumbu balaaa
 

Hahah noma sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…