Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Zoë huu uzi umenichekesha sana. Kuna collection ya majibu sio ya nchi hii, watanzania hapa tupo vizuri. Mimi nakumbuka jamaa alileta yake aliyoambiwa asali/aombe kwa kiingereza. Nilicheka kupita kawaida.
 
Yaani huku JF kuna majibu acha tu, siyo siri sijajuta kuanzisha huu uzi sababu niliuanzisha ili nicheke na kweli nimecheka maana siyo kwa comments walizoshusha wadau.
Zoë huu uzi umenichekesha sana. Kuna collection ya majibu sio ya nchi hii, watanzania hapa tupo vizuri. Mimi nakumbuka jamaa alileta yake aliyoambiwa asali/aombe kwa kiingereza. Nilicheka kupita kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…