Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Zoë huu uzi umenichekesha sana. Kuna collection ya majibu sio ya nchi hii, watanzania hapa tupo vizuri. Mimi nakumbuka jamaa alileta yake aliyoambiwa asali/aombe kwa kiingereza. Nilicheka kupita kawaida.
 
Yaani huku JF kuna majibu acha tu, siyo siri sijajuta kuanzisha huu uzi sababu niliuanzisha ili nicheke na kweli nimecheka maana siyo kwa comments walizoshusha wadau.
Zoë huu uzi umenichekesha sana. Kuna collection ya majibu sio ya nchi hii, watanzania hapa tupo vizuri. Mimi nakumbuka jamaa alileta yake aliyoambiwa asali/aombe kwa kiingereza. Nilicheka kupita kawaida.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uzi unauliza TO wa miaka ya nyuma wapo wapi na wana mafanikio kiasi gani? Jibu hilo dah
Screenshot_20200329-043222.jpg
 
Back
Top Bottom