Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?


😀😀😀Sorry Kama ulichukia.

Kuna mmoja alinifrausha alisema ukiwa huna hela jua linakupiga mpaka linakwambia wewe fala usiponunua gari ntakupiga mpaka uwe wa njano. Na hizo nywele zinaota puani zitajaa mpaka ushindwe kupumua.
 
Lakin uzi unaoongoza kwa kuchekesha humu ni ule “siku ya kwanza kupanda ndege”


Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ndo ulinifanya niipende sana jf, kipindi kile ndo nilikuwa najiunga. Aisee, kuna watu wana vituko si mchezo. Nakumbuka kuna jamaa alisema alipokuwa anaenda kupanda ndege kwa mara ya kwanza, alivaa macheni kibao, mapetepete vidoleni na miwani juu ili akifika watu wamwone mjanja. Kufika akakuta abiria wengine wamevaa simple tu. Akajiona boya sana 😀,😀😀😀😀
 
Kuna uzi ulianzishwa unasema Mvua ikiwa inanyesha unapenda kufanya nini.?

Jamas mmoja akakomenti kua anapenda kuwa ananyoa ma***zi na kuyatupa dirishani halafu anakua anayaangalia yanavyopelekwa na maji.

Nimeikumbuka nikabaki.kucheka sana
[emoji16][emoji16][emoji16]naikumbuka hii alipata likes 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Sorry Kama ulichukia.

Kuna mmoja alinifrausha alisema ukiwa huna hela jua linakupiga mpaka linakwambia wewe fala usiponunua gari ntakupiga mpaka uwe wa njano. Na hizo nywele zinaota puani zitajaa mpaka ushindwe kupumua.
Ahaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…