Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Kuna ule uzi upo kwenye jukwaa pendwa kuhusu migegedo.

Sasa ulikuwa unahusu vitu gani vya kuchekesha mpenzi wako anongea kipindi mgegedo umekolea.

Kuna manzi mmoja alikuwa anamwambia jamaa " Naomba unitukanie kwa sauti Rais....fuli"

Jamaa alikuwa anapata wakati mgumu ukizingatia mzee baba hajaribiwi. Akawa anatukana tu kumridhisha manzi, "Wee ..... Fuli .... K... Mamko" [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii sisahau hata kuja kwa masiha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadeki
Kuna coment moja sikumbuki ilikuwa kwenye uzi gani

Jamaa ali coment kitu halafu akajibiwa

"Kama huna cha kuandika vua chupi kaa pembeni"

Aiseeeee!!....nilicheka sana siku hiyo

Enough Of No Love
 
Mdau mmoja wa Magari alianzisha mada inahusu "Jinsi ya kuwasha gari kwa dharura pale betri ikiwa imegoma",katika maelezo yake akazungumzia kwamba unafunga kamba kwenye tairi then kuna maelezo yakaendelea..baada ya kumaliza sasa

Kama kawaida kuna jamaa akacoment "kwa sisi tunaotumia betri za sim unatusaidiaje?

Sasa jibu alilopewa hapo chini na mdau mmoja anajiita Ochumeraa huwa nikikumbuka mpaka leo nacheka sana[emoji23]
[emoji23][emoji23]da!View attachment 1401129View attachment 1401130

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa
Mada ilikuwa inasema usimcheke mtu nawe unaweza kuja kuwa km yeye, hapo ss ikaja comment ya mdau........."hahahahahahahahahaaaaa Bakhressa hahahaha"
 
Mada ilikuwa ya MshanaJr ilihusu corona, ss kuna mtabe mmoja alikuja na jibu nikajikuta nacheka pekeangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Dunia imepumzika, Usawa umerudi, Afrika imeshangaza Corona itaondoka kama ilivyokuja.. Bila tiba wala kinga - JamiiForums
Screenshot_2020-03-31-21-37-36.jpeg
 
Back
Top Bottom