financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Niliona hii comment aisee nilicheka sana,eti usipokua na hela hadi nywele zinajiotea bila adabu sehemu yoyote hadi puani ili ushindwe kupumua ujifie😀😀😀 jf sihamiii😀😀😀Sorry Kama ulichukia.
Kuna mmoja alinifrausha alisema ukiwa huna hela jua linakupiga mpaka linakwambia wewe fala usiponunua gari ntakupiga mpaka uwe wa njano. Na hizo nywele zinaota puani zitajaa mpaka ushindwe kupumua.