Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Kuna coment moja sikumbuki ilikuwa kwenye uzi gani

Jamaa ali coment kitu halafu akajibiwa

"Kama huna cha kuandika vua chupi kaa pembeni"

Aiseeeee!!....nilicheka sana siku hiyo

Enough Of No Love
"Kama huna cha kuchangia vua chupi kaa pale."
Alikuwa machozi ya simba nakumbuka
 
Oct.24 mwaka 2019- dec.8 mwaka 2019
Screenshot_20200405-200621.jpeg
Screenshot_20200405-200718.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom