Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Mi zangu hizi hapa
IMG_20200321_082450_599.JPG
IMG_20200322_071439_247.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Mi nadhani wangempotezea tu, kwani hakuna nakala nyingine ya hicho kitabu hapo Kilosa?'. Hii comment ilinichekesha sana, ilikuwa ni ya member mmoja hivi ID yake nimeisahau, akijaribu kuchangia maoni yake kuhusu yule jamaa wa Kilosa aliyechoma moto kitabu cha Quran.
 
Ni nyingi kiasi nazisahau. Ila nimeikumbuka hii moia jana kwenye post ya mwana mfalme kugundulika na Corona kuna jamaa akasema "corona ni htatari hata ukilala juu ya mawe ni kazi bure tu"
kwenye Uzi wa mshana wa vituko kuna MTU ali comment

"bibi mmoja aliingia chooni akiomba asikutane na pepo mchafu ghafla akasikia sauti

KWA UCHI GANI Hebu kunya uondoke😂😂😂😂😂😹😹
 
Habari zenu wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwa sisi ambao tunapenda sana kucheka [emoji16][emoji16], JF imekuwa na mchango mkubwa sana katika kutusaidia kupunguza stress kupitia michango ya wadau mbalimbali.

Ninaamini kila mtu ameshakutana na comments nyingi ambazo yeye binafsi anaona zilimchekesha, na kinachomchekesha mmoja siyo lazima kimchekeshe mwingine maana tunatofautiana.

Kuna ile comment mtu unacheka, unalike hiyo comment iliyokuchekesha, yanapita unasahau then maisha mengine yanaendelea, ila ninaamini kila mtu ana ile comment moja humu ambayo ilimchekesha kuliko zote kiasi kwamba hajaisahau hadi leo na akiikumbuka bado anacheka.

Siyo vibaya kama ukimtaja mtoa comment, kichwa cha uzi ambao hiyo comment inapatikana, pamoja na kunukuu hiyo comment yenyewe, kama bado utakuwa unakumbuka hivyo vyote.

Mimi binafsi comment iliyonichekesha kuliko zote ni ya mdau mmoja hivi anajiita GeoMex kwenye uzi mmoja wa Mshana Jr wenye kichwa kinachosomeka "Tafsiri ya kukutana kimwili", ambapo kwa ufupi mada ilikuwa inasema kuwa siku hizi watu wengi wanakutana kimwili ili mradi tu as unakuta tendo wanafanya watu wawili ila mmoja tu ndiyo anashughulika huku mwingine haoneshi ushirikiano wowote.

Sasa huyo jamaa niliyemtaja hapo juu akacomment hivi, "Teh teh teh kama baba askofu Gwajiboy, anakata viuno na makalio kabana kama mfuniko wa kopo la kimbo binti hana habari" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], akirefer ile video ya ngono iliyosambaa ya askofu Gwajima na yule dada.

Aiseee nikiri kuwa tangu nimejiunga JF nimekutana na comments nyingi zimenichekesha na nyingi nimeshazisahau, ila hiyo comment jamani ni ya tangu mwaka jana ila hadi leo ikinijia kichwani huwa nacheka peke yangu na huwa najiuliza watu sijui wanawazaga nini yaani.

Yawezekana zipo comments nyingi humu za kuchekesha ambazo hatujakutana nazo, wewe taja japo moja tu kati ya zile ulizowahi kukutana nazo, ambayo kwako binafsi hadi leo unaona ndiyo the most humorous of all the comments you've come across in here, ili tuzijue na nyingine ambazo zinachekesha ila hatujawahi kukutana nazo tucheke wote.
Itakuwa una ny*ege tu mbona comment ya kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye Uzi wa mshana wa vituko kuna MTU ali comment

"bibi mmoja aliingia chooni akiomba asikutane na pepo mchafu ghafla akasikia sauti

KWA UCHI GANI Hebu kunya uondoke😂😂😂😂😂😹😹
Kuna watu humu ni vituko sana, kwa sasa watu ninaowakubali kwa funny ni kiduku lilo na yule mtanesco.
 
Back
Top Bottom