Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Kuna uzi unasema Jambo gani la kutisha uliwahi kukutana nalo hutasahau maisha yako ?

Mkuu mmoja akareply kuwa kuna siku alimka usiku akawahi namba shule kumbe ni usiku wa manane na alipofika akakutana na wachawi wamewasha Moto wanacheza darasani akakimbia mbio na njiani akatokewa na jitu reefu likamkimbiza.Baadae likaacha kumkimbiza akafika home akawaambia wazazi wake yaliyomkuta.. jamaa alinichekesha ni aliye reply comment hiyo akasema "Hata Mimi huyo huyo alinikimbiza" nilicheka Hadi machozi
 
Naikumbuka hii comment[emoji16][emoji16][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji12][emoji12][emoji12]Hyo shii shii ya mlevi sasa kama namuona hvi mkono umemlegea hauna nguvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…