Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

'Mi nadhani wangempotezea tu, kwani hakuna nakala nyingine ya hicho kitabu hapo Kilosa?'. Hii comment ilinichekesha sana, ilikuwa ni ya member mmoja hivi ID yake nimeisahau, akijaribu kuchangia maoni yake kuhusu yule jamaa wa Kilosa aliyechoma moto kitabu cha Quran.
 
Ni nyingi kiasi nazisahau. Ila nimeikumbuka hii moia jana kwenye post ya mwana mfalme kugundulika na Corona kuna jamaa akasema "corona ni htatari hata ukilala juu ya mawe ni kazi bure tu"
kwenye Uzi wa mshana wa vituko kuna MTU ali comment

"bibi mmoja aliingia chooni akiomba asikutane na pepo mchafu ghafla akasikia sauti

KWA UCHI GANI Hebu kunya uondoke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Itakuwa una ny*ege tu mbona comment ya kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye Uzi wa mshana wa vituko kuna MTU ali comment

"bibi mmoja aliingia chooni akiomba asikutane na pepo mchafu ghafla akasikia sauti

KWA UCHI GANI Hebu kunya uondoke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kuna watu humu ni vituko sana, kwa sasa watu ninaowakubali kwa funny ni kiduku lilo na yule mtanesco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ