Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Vizuri sana kama hujambo mkuu

I'd mpya ila mwandiko wako siyo mgeni kwangu[emoji1]

Halafu kama vile mimi na wewe tuna ukaribu fulani hivi Amaizing toka mwanzo japo ndo Id mapya(umefungua nyingine)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana mkuu hatuna ukaribu wowpte macho yako tu yamefananisha
 
IMG_0675.jpg
 
Kuna ule uzi wa kula kimasihara, basi kuna jamaa kaopoa jimama wenzie wakaenda kumpigia chabo mama kuvua tu ile chupi inafunika meza kwa ukubwa... Wapiga chabo wakaanza kucheka jamaa akanyimwa mzigo

Uzi huo huo jamaa sijui walienda hotel gani mkoani huko wako wawili mida jioni mwenzake akamwambia twende Bar tukatafute wanawake, jamaa akasema amechoka hawezi kwenda, basi mmoja akatoka akaenda akaja na mwanamke wake, wakati anamtafuna uzalendo ukamshinda huyu aliyesema hawezi toka akajisogeza taratibu na kumnong'oneza jamaa yake amuachie na yeye jamaa kwa sauti akamjibu huku mwanamke akisikia wewe KMMK SI ULIKATAA KWENDA JITOMB... MWENYEWE MBWA WEWE,

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji2]
 
Yaani hii kitu nimecheka usiku kitandani....! Yaani kila nikikumbuka nacheeeeka I see
 
Habari zenu wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwa sisi ambao tunapenda sana kucheka [emoji16][emoji16], JF imekuwa na mchango mkubwa sana katika kutusaidia kupunguza stress kupitia michango ya wadau mbalimbali.

Ninaamini kila mtu ameshakutana na comments nyingi ambazo yeye binafsi anaona zilimchekesha, na kinachomchekesha mmoja siyo lazima kimchekeshe mwingine maana tunatofautiana.

Kuna ile comment mtu unacheka, unalike hiyo comment iliyokuchekesha, yanapita unasahau then maisha mengine yanaendelea, ila ninaamini kila mtu ana ile comment moja humu ambayo ilimchekesha kuliko zote kiasi kwamba hajaisahau hadi leo na akiikumbuka bado anacheka.

Siyo vibaya kama ukimtaja mtoa comment, kichwa cha uzi ambao hiyo comment inapatikana, pamoja na kunukuu hiyo comment yenyewe, kama bado utakuwa unakumbuka hivyo vyote.

Mimi binafsi comment iliyonichekesha kuliko zote ni ya mdau mmoja hivi anajiita GeoMex kwenye uzi mmoja wa Mshana Jr wenye kichwa kinachosomeka "Tafsiri ya kukutana kimwili", ambapo kwa ufupi mada ilikuwa inasema kuwa siku hizi watu wengi wanakutana kimwili ili mradi tu as unakuta tendo wanafanya watu wawili ila mmoja tu ndiyo anashughulika huku mwingine haoneshi ushirikiano wowote.

Sasa huyo jamaa niliyemtaja hapo juu akacomment hivi, "Teh teh teh kama baba askofu Gwajiboy, anakata viuno na makalio kabana kama mfuniko wa kopo la kimbo binti hana habari" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], akirefer ile video ya ngono iliyosambaa ya askofu Gwajima na yule dada.

Aiseee nikiri kuwa tangu nimejiunga JF nimekutana na comments nyingi zimenichekesha na nyingi nimeshazisahau, ila hiyo comment jamani ni ya tangu mwaka jana ila hadi leo ikinijia kichwani huwa nacheka peke yangu na huwa najiuliza watu sijui wanawazaga nini yaani

Yawezekana zipo comments nyingi humu za kuchekesha ambazo hatujakutana nazo, wewe taja japo moja tu kati ya zile ulizowahi kukutana nazo, ambayo kwako binafsi hadi leo unaona ndiyo the most humorous of all the comments you've come across in here, ili tuzijue na nyingine ambazo zinachekesha ila hatujawahi kukutana nazo tucheke wote.
Sema nimesahau ila uzi ulikuw unahusiana na athari za chaputa kuna jamaa kaka comment "hata sielew ngoja nikapige moja kwanza ndo nirud kusoma"
 
Back
Top Bottom