Ni dawa gani Nzuri ya kinywa na meno kwa kutumia hapa Tanzania?

Ni dawa gani Nzuri ya kinywa na meno kwa kutumia hapa Tanzania?

Kwa uzoefu wangu

Colgate ile imeandikwa sensitive

Lakini ukitaka best results kwa kinywa chako nunua flouride mouth wash.

Lakiini best of best ot the best mswaki ule mti ambao wamasai wanatumiaga hautakaa kuumwa meno
 
Ukiweza kupata colgate ya hivi , imekaa unyama
Screenshot_2026-06-28_210753.jpg
 
Hii inadhihirisha watu jinsi midomo yenyu inavyonuka uvundo haswa kiasi kwamba unahitaji dawa kali ya meno kusuuza uvundo.

Ukifanya HAAAAAAHHH mpaka nzi wote wanazimia.

Ukiona mpaka yule nzi mkubwa wa kijani anakufa ukifanya HAAAAAAHH basi hakika unahitaji SENSODYNE kutoka uturuki.

Cc: Mbaga Jr secretarybird Poor Brain
Nzuri mno ila ni kadogo sana
 
Kwa uzoefu wangu

Colgate ile imeandikwa sensitive

Lakini ukitaka best results kwa kinywa chako nunua flouride mouth wash.

Lakiini best of best ot the best mswaki ule mti ambao wamasai wanatumiaga hautakaa kuumwa meno
Mswaki kwanza(asisuuze kinywa na maji) halafu mouth wash ifuate, atakuja kushukuru baadae hapa
 
Back
Top Bottom