Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Mkaa
Mkaa
Hii nimeambiwa na dr wa meno pale OMEGA , Magomeni usalamaHakikisha dawa unayotumia ina kiwango sahihi cha Fluoride ,kawaida kimeandikwa kwenye pakiti kama Fluoride content 1000 - 1500 ppm.