Ni dawa gani Nzuri ya kinywa na meno kwa kutumia hapa Tanzania?

Kwa uzoefu wangu

Colgate ile imeandikwa sensitive

Lakini ukitaka best results kwa kinywa chako nunua flouride mouth wash.

Lakiini best of best ot the best mswaki ule mti ambao wamasai wanatumiaga hautakaa kuumwa meno
 
Colgate kulingana na mahitaji yako. Bidhaa nyingi za kinywa na ngozi huwa sipendi brand isiyoaminika. Ni mwendo wa Colgate, Vaseline, Nivea.
Maana nikijaribu kuondoka huwa narudi. Hawana maajabu sana ila you can't be disappointed. Unless una tatizo kabisa linahitaji prescription ya mtaalam.
 
Nzuri mno ila ni kadogo sana
 
Kwa uzoefu wangu

Colgate ile imeandikwa sensitive

Lakini ukitaka best results kwa kinywa chako nunua flouride mouth wash.

Lakiini best of best ot the best mswaki ule mti ambao wamasai wanatumiaga hautakaa kuumwa meno
Mswaki kwanza(asisuuze kinywa na maji) halafu mouth wash ifuate, atakuja kushukuru baadae hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…