Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

Salaam

Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari.

Msaada, asanteni
mkuu hapo ulipo nunua kitunguu saumu/swaumu, chukua punje kama sita zimenye vzuri kisha tupia mdomoni tafuna, ikiwezekana tafunia kwenye hlo jino linalouma, usiwahi kumeza au kutema hayo maji fanya kama unasukutua kwa dk 2, hapo unaweza tema au kumeza, siyo sumu

kabla ya kulala rudia tena hilo zoezi, ukiamka hilo jino likiwa bado linauma, nipo pale njoo uniite umbwa.

likishatulia usiache zoezi hilo uwe unafanya mara 2 au 3 kwa week, hutokaa usikie linauma hata kma limetoboka.

ukipona tuma ya vocha.
 
Asante boss
 
Nilikuwa sipajui Amana hospital ila Ile siku nilijikuta nipo kwenye kitanda nasubir ganz isambe vizur........
....shikamoo jino.......
 
mkuu hapo ulipo nunua kitunguu saumu/swaumu, chukua punje kama sita zimenye vzuri kisha tupia mdomoni tafuna, ikiwezekana tafunia kwenye hlo jino linalouma, usiwahi kumeza au kutema hayo maji fanya kama unasukutua kwa dk 2, hapo unaweza tema au kumeza, siyo sumu

kabla ya kulala rudia tena hilo zoezi, ukiamka hilo jino likiwa bado linauma, nipo pale njoo uniite umbwa.

likishatulia usiache zoezi hilo uwe unafanya mara 2 au 3 kwa week, hutokaa usikie linauma hata kma limetoboka.

ukipona tuma ya vocha.

Ushauri wa daktari uchwara. Hii ndo sababu wabongo wengi midomo inanuka na hamuachi kuumwa meno.

Nenda kwa dentist kapate ushauri wa kitaalam. Na usiache kwenda kwa dentist every six month kufanya dental cleaning, mswaki pekee hautoshi. Watu wenyewe hamfanya hata flossing.
 
Salaam

Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari.

Msaada, asanteni
Habari yako.
Pole sana, nakushauri nenda Hospital usije ukatoa jino. Siku hizi technology ni kubwa sana na wataalamu wapo wengi sana. Na vifaa vya kisasa vipo vingi. Usitoe jino. Narudia tena usitoa jino nenda kalizibe hospitali zipo kibao na clinic nyingi tena zinapokea bima na zina wataalamu mabingwa. Kama upo dsm sema nikupe suggestion
 
Ushauri wa daktari uchwara. Hii ndo sababu wabongo wengi midomo inanuka na hamuachi kuumwa meno.

Nenda kwa dentist kapate ushauri wa kitaalam. Na usiache kwenda kwa dentist every six month kufanya dental cleaning, mswaki pekee hautoshi. Watu wenyewe hamfanya hata flossing.
asante sana mkuu, ila mm sinukagi mdomo, hata nisiposwaki
 
Back
Top Bottom