Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

Habari yako.
Pole sana, nakushauri nenda Hospital usije ukatoa jino. Siku hizi technology ni kubwa sana na wataalamu wapo wengi sana. Na vifaa vya kisasa vipo vingi. Usitoe jino. Narudia tena usitoa jino nenda kalizibe hospitali zipo kibao na clinic nyingi tena zinapokea bima na zina wataalamu mabingwa. Kama upo dsm sema nikupe suggestion
Nipo dsm ndg
 
Salaam

Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari.

Msaada, asanteni
Anza na Colgate kama huduma ya kwanza japo linaweza kuacha kuuma mazima...

kila baada ya kula sukutua, tema mapovu ila usiuoshe mdomo. Fanya hivyo kwa siku 3. dawa ya uhakika zaidi nikilitoa tuu.. Asante
 
Asante Sana
 
Salaam

Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari.

Msaada, asanteni
DAWA YA JINO LILILOTOBOKA AU KULIWA NA WADUDU
🌴🌴JINO BILA KUNG'OA🌴🌴
👉Shabu
👉Karafuu
👉Mdaa
🍀Hakikisha dawa zote ni zaunga na uchanganye kwa ujazo sawa.
🍀kama ni jino kutoboka / kutobolewa na mdudu Chukua mchanganyiko huo Tia ndani ya tundu kwa dakika KUMI kisha sukutua meno yako kwa mchanganyiko wa dawa hiyo .
🍀kama ni KULIWA na WADUDU Chukua dawa hiyo na sukutulia kwa dakika KUMI
🍀Utafanya hivyo kutwa mara mbili kwa siku 14

Kwa ushaur na tiba wasiliana nasi
What's app/call
+255656303019
~Chief Sang'ida .
 
Back
Top Bottom