Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Unaitwa mmavi-mavi
 
Mke hakufanyiwa lolote lililobaya zaidi juu ya mwili wake?
 
Si sinzia nae pia
 
Mke hakufanyiwa lolote lililobaya zaidi juu ya mwili wake?
Hakufanyiwa chochote mkuu, na wala haijawahi ripotiwa kufanyiwa mbaya kwa mwanamke/mwanaume yoyote kwenye matukio ya namna hii popote zaidi ya kuhamishwa tu kitandani na vitu kuibiwa
 
Syo chai tu,kwa jirani yangu walivunja banda la kuku wakachinja kuku wote,vichwa wakaacha hapo uwani nahakuna aliyesikia.
Uwiiiiiie yeuwiiiiiie auwiiiiiiii, umewka chumvi aiseeee
 
Wala usidanganyike. Hakuna dawa ya kupuliza dirishani ikamfanya mtu alale fofo kiasi cha kutoshtuka. Dawa zile zipo lakini kwanza haziko effective kama tunavyodanganywa lakini pia ni adamu na ghali sana kuzipata kiasi kwanmba hakuna mtu wa kawaida akaweza kuzimiliki kirahisi hivyo. Wanachofanya wezi ni kwamba wanacheza na saikolojia ulya muhanga. Binadamu kuna kipindi fulani cha usiku anakuwa ndani ya usingizi mzito sana. Sasa wezi hawa hutumia kipindi hicho kufanya yao.
Mimi ni muhanga wa hao wezi i na ipo siku nitawakamata tu kwa uwezo wa Mola na nitafudi hapa na kuwaadithia kitakachowakuta.
 
wewe endelea kubisha tu
 
mshikaji wangu walmuibia adi nguo alokuw kavaa akati analala, asubui anashangaa geto kavu afu pamba alotupia kbla ya kulala zmebebw, unaambwa mpaka boksa walmbebea et, kibaya zaidi wakampaka whitedent kwe mtalo wa makalio, looh!
ha haaa haaaa hiyo ilizidi mkuu
 
Ukimtajia huyu jamaa ndo anatafta akaitumie
Yawezekana siyo yeye, wapo ambao nahisi dhahiri kabisa wameshika kalamu na notebook kuandika hizo dawa kama wanavyotiriirka wajumbe hapa kwa ajili ya kufanya uhalifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…