Wala usidanganyike. Hakuna dawa ya kupuliza dirishani ikamfanya mtu alale fofo kiasi cha kutoshtuka. Dawa zile zipo lakini kwanza haziko effective kama tunavyodanganywa lakini pia ni adamu na ghali sana kuzipata kiasi kwanmba hakuna mtu wa kawaida akaweza kuzimiliki kirahisi hivyo. Wanachofanya wezi ni kwamba wanacheza na saikolojia ulya muhanga. Binadamu kuna kipindi fulani cha usiku anakuwa ndani ya usingizi mzito sana. Sasa wezi hawa hutumia kipindi hicho kufanya yao.
Mimi ni muhanga wa hao wezi i na ipo siku nitawakamata tu kwa uwezo wa Mola na nitafudi hapa na kuwaadithia kitakachowakuta.