Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mkuu unataka kuwa mwiz nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo dawa kazi yake nini ?Dawa hiyo ipo kwenye maduka ya dawa.
Naomba nisitaje jina hapa ,Fika duka la kilimo na mifugo ipo
Kazi yake nini ?Chloroform
Methane trichloride
Methyl trichloride
Methenyl trichloride
TCM
Freon 20
Refrigerant-20
R-20
UN 1888
Hayo ndo majina tofauti tofauti ya hiyo dawa inayotumiwa na hao wezi
Al Badir kwenye ubora wake
Hahaha dadekihahaaaa umenikumbusha miaka hiyo advance, msimamizi wa biology pract akaivuta maana ilikuwa inatumika kuwafanya panya wazimie wakati wa dissection,yule jamaa alilala hadi pepa inaisha
Harufu yake inafanana na ya Mabomu ya machoziJe ni dawa gani hiyo sasa?
😴😴😴😥😥😥Wanatumia Chloroform mkuu. Wanapuliza, wewe ukiivuta kwishny!
Nimecheka kwa sautiHuu uzi yawezekana unafuatiliwa kwa makini sana na majambazi, najaribu kuwaza tu kwa sauti.
Nimecheka SanaMi kwangu waliku.nya kabsa wakaacha mzigo bila kuflash. Mpaka leo huwa nawaza walitumia muda gani.
Noma sanaaaaHiyo dawa haifai wadau wezi wanafika wanavuta viti wanakaa wanaorodhesha vitu vya kuiba na bei ya kuuzia
Kwahiyo Huu uzi si utawafundisha vijana mambo ya wizi, ?Kwa mujibu wa makala ya uchambuzi ya Fikrapevu.com
Je, unaifahamu Dawa ya usingizi inayotumiwa na wezi kuwapulizia watu kabla ya kuiba? Inaitwa Chloroform.
Kwa muda mrefu kumekithiri vitendo vya uhalifu unaohusisha wezi kuingia kwenye nyumba za watu nyakati za usiku na kuwapulizia dawa ya usingizi na kisha kuchukua chochote wanachokitaka ndani ya nyumba.
Baadhi ya watu wamekuwa wakihusisha aina hiyo ya uhalifu na ushirikina lakini ukweli ni kwamba ipo dawa mojawapo ya usingizi ambayo hutumiwa na wezi wengi kutekeleza uhalifu huo. Dawa hiyo kitaalamu inaitwa Chloroform.
Dawa hiyo ina uwezo wa kumlegeza au kumzimisha mtu kiasi kwamba ashindwe kujitambua na kuhisi chochote na wahalifu wakafanya chochote wanachoweza kwa muda wa kutosha. Wataalamu wa afya huitumia katika shughuli za kitabibu hasa wakati wa upasuaji.
Ili kufahamu madhara na tahadhari ya kuchukua juu ya dawa hii inapotumika, soma zaidi makala hii kwa kina (na nyinginezo makini ambazo ungependa kuzifahamu) kupitia => Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?
HahahahMi kwangu waliku.nya kabsa wakaacha mzigo bila kuflash. Mpaka leo huwa nawaza walitumia muda gani.
HahahaWanalinga sana na hiyo dawa yao, yaani wakikupulizia unajikuta unaamshwa asubuhi saa mbili na majirani.
Hahaha nilikuwa mafikiria hivyo hivyoKama ni mwanamke c wanaweza kumpiga show kabla ya kaondoka?
Kwa kweli.. HahahaSio mwanamke tu mkuu hata kidume wanaweza legeza marinda.ukiona wamesepa na zagazaga na wewe wamekuacha salama unscathed ni jambo la kushukuru mungu.
Hahaaahahaaaa umenikumbusha miaka hiyo advance, msimamizi wa biology pract akaivuta maana ilikuwa inatumika kuwafanya panya wazimie wakati wa dissection,yule jamaa alilala hadi pepa inaisha
Hahaha Fundi chupiKha! Haya majina mengine haya,
Naam acha kabisa tech ya mwafrica hapana chezea kabisaKaka kuna watu na shunguri zao aisee. Mie nlikuwaga mbishi kama wewe, kuna mzee mtaan aliibiwa bajaj kwake aisee. Wezi walikuja ucku wakafungua get wakaiba bajaj.
Yule mzee hakwenda kushtak hata polisi. Ila baada ya siku kama mbili hivi wale wezi walirudisha bajaj huku wanaikokota.
Yule mzee hakushtuka aliwafungulia geti wakapak bajaj akamwambia mkewe awape naul wakaenda. Hata hawakuguswa wale wezi.
Kuna watu na shughuri zao