popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Mkuu beseni ama kalai ndo bora sana ila liwe wazi,hii ni kinga ambayo mtu hawezi amini lkn nnafanya kazi 1000%Weka maji kwenye chombo cha wazi kama bakuli au ndoo au besenikatika chumba unacholala.
Hiyo dawa kamwe haitafanya kazi.