Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Hao wezi ni noma ,, mi nilipuliziwa dawa nikazima hadi saa3 asubuh

Mbaya zaid nilikua na mtoto mdogo wa kunyonya ndani. Najiuliza ile dawa ingemletea matatizo mtoto inakuaje? Huwa sijiuliz vitu walivyoniibia.

Hitimisho hawa wezi kama umewaotea sio kuwapeleka Polis ni KUUA tu.
 
Wewe unashangaa kuoga?Huku Kigamboni walimbeba kabisa baba mwenye nyumba wakamtoa kitandani...Wakachukuwa godoro na kitanda cha chuma wakafungua wakatia kwenye Isuzu Carry wakasepa.

Asubuhi tunaamka,watu tunaona majirani kimya ila mlango upo wazi...Kusogea tunakuta Baba na Mama wamelazwa chini na wanakoroma fofofooo...Ikabidi wamama na heshima zao wavue vitenge kumfunika Mama ndio wawaamshe....Hawa jamaa ni nyok...oooooo
Hapo ndipo ninapopazungumzia mimi

Walimbeba baba mwenye nyumba wakamuweka chini wakachukuwa godoro na kitanda ... umeona hilo ndio lilokuwa lengo lao... kwenda kuiba

Ila hawa wezi wa segerea waliamua na waoge kabisa
 
Kuoga ni kukuonyesha kuwa wao wamebobea...Ni kama mchezaji kupiga kanzu kabla ya kufunga...ni kama chachandu kwenye chips dume....Gaucho anaweza kufunga bila kupiga vibaiskeli,lkn kunogesha goli lazima afanye cycling kidogo.....Mbona unataka kuleta uanfalsafa kwenye mambo ya kitaa??Umekulia kota nini??

Watoto wa uswazi wana style yao...akienda kwenye hitima lazima atie punje za wali mfukoni kuthibitisha kuwa kamlia vizuri marehemu ubwabwa!!Relax....Kwa wezi wa kitaa kuoga ni nembo ya ukamilifu wa kazi!!Kama Mwanajeshi kuvaa saa ya marehemu aliyemuuwa vitani
 
Hahaha haya chifu umeeleweka

Basi itafika muda hao mabingwa watakuwa kabla hawajakuibia watakuwa wanacheki tv kwanza halafu wanalala kidogo wakiamka ndio wanajichukulia vitu vyao ili kuonyesha ukamilifu wa kazi kama ulivyosema hapo juu
 
View attachment 370942 View attachment 370941

Hii nimeiona kwenye Group la WhatsApp,imetokea mitaa ya Segerea Dsm...Jamaa walikuja usiku wa kiza kinene,wakapiga dawa dirishani wakaanza kupakuwa kitu kimoja baada ya kingine!!Chumbani walishindwa kuingia ikabidi watumie hilo "jaro" kupakuwa simu kitandani.

Wakazungukia kwa wapangaji wengine wakakomba kila kitu.Wakapakuwa kiporo cha ubwabwa wa kipaimara wakala,wakafungua friji wakanywa juice yote na matunda.Wakaenda na bafani wakaoga na kujisaidia bila kuflash ...wakafungua TV ukutani ya nchi 32 na mziki sebuleni...baada ya hapo wakakojolea kwenye vikombe na masufulia,ajabu ni kuwa haya yote yanatokea hakuna hata aliyeamka.

Walioibiwa wamekuja kuamshwa saa tano asubuhi,maana gari ya shule "school bus" ilikuja kuwabeba watoto ikapiga sana honi bila mafanikio...aliyekuja kustua majirani ni Mama msaidizi wa kazi ambaye huwa anasidia kazi na kurudi nyumbani.Watoto wamelazwa chini jamaa wamebeba mashuka na mito.

Hivi hawa jamaa dawa yao nini??Maana imekuwa kero sana kwa sasa....Yaani wameiba na kumpaka mtu white dent eneo la "mtaro wa maji machafu" halafu wakatoweka....sio haki kabisaaaaaa
Ungepeleka lile jukwaa lingine nahisi ingekuwa bora zaid
 
Nilitaka kushangaa kama wamebeba TV kwa kutumia hilo jalo na TV ikapitishwa hapohapo dirishani.

Ninhewaingiza kwenye kitabu cha rekodi ya Dunia sasa hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unanivitukoooo[emoji115]
 
Swali linasimama palepale unzijuwa spray wanazotumia?
Nasikia eti ni dawa za mahospitalini...za nusu kaputi...hivyo watu wa hospitalini wanahusika; sababu haziuzwi madukani...Na ni zina side effect.
 
Huu uwizi wa designed hii ilianziaga msisiri,Kinondoni Wezi walikuwa maarufu kwa Jina la Jordan....
dawa Yao ni majirani waji organise kisiri na kufanya lindooo......dawa nyingine ni kumkamata mmoja wao na kumfanyia kitu mbaya.....ili ujumbe uwaendee wengine
Hahah umenikumbusha mbali msisiri vinyago pale zone kule kamanyora hahah
 
Nilitaka kushangaa kama wamebeba TV kwa kutumia hilo jalo na TV ikapitishwa hapohapo dirishani.

Ninhewaingiza kwenye kitabu cha rekodi ya Dunia sasa hivi.
Hilo jaro ni specifically for smartphone, na wallet in other cases ila endapo kutakuwa na mkoba anaweza utag: fasta.
 
Back
Top Bottom