Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna duka Cape town South niliingia nikakuta spray za kumpulizia adui machoni zinauzwa madukani, wenyeji wakaniambia ndio self defence kubwa ya wanawake.Nasikia eti ni dawa za mahospitalini...za nusu kaputi...hivyo watu wa hospitalini wanahusika; sababu haziuzwi madukani...Na ni zina side effect.
Kwahiyo kwa uzoefu wangu mdogo naamini kabisa hata hizi spray za kunogesha usingizi zitakuwa wanazipata kutoka South Afrika, kule vitu vingi siyo ilegal.
Hata Manyaunyau ile midoli yake ya paka yenye chill sourse inayofana na rangi ya damu atakuwa anainunuwa South Africa.