Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Kupitia huu uzi na wachangiaji wa mada wanavyodadavu wengine tunajifunza jinsi ya kujihami na wezi. Kwa mfano, mimi nimejifunza mbinu ya kuacha maji wazi ili kujihami na wezi wanaotumia Kloroform wengine tulikuwa hatuijui.
hii ya maji nimeipenda me huwa c achagi kuingia na maji chumbani kwenye ndoo na beseni kwa ajili ya kunyanduana na waifu usiku,kumbe napiga two ina one bila kujua aisee ntaendelea kuiboresha zaidi
 
hii ya maji nimeipenda me huwa c achagi kuingia na maji chumbani kwenye ndoo na beseni kwa ajili ya kunyanduana na waifu usiku,kumbe napiga two ina one bila kujua aisee ntaendelea kuiboresha zaidi
maji yana kaz gan kwenye kunyanduana
 
Mie siwezi kuibiwa kamwe. Sababu nalala late night.
 
Mmh mm nahs n dawa Maan sis wezi waliruka ukuta wakaingia ndan na waligusa Gari ikawa inapiga kelele sana Lakin hatukusikia na wlibeba Simu,,ela na wafungua gar wkaacha hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…