johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari.
Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za kupambana na Corona ikiwemo social distancing.
Na kwa maana hiyo vikao vya watu wengi kama Baraza Kuu la Chadema haviwezi kuketi kwa namna yoyote ile hadi Corona itakapotokomezwa kabisa.
Hivyo basi Halima James Mdee na wenzake watabakia kuwa washindi kwa sababu rufaa zao hazitasikilizwa.
Maendeleo hayana vyama!