Ni dhahiri Baraza kuu la CHADEMA halitaketi hivi karibuni kwa hofu ya Corona, Mbowe ana hesabu kali!

Tumia akili kdg, kwani mikutano haiwezi kufanyika online mpk watu wakae sehemu moja?
 
Hawa ndio content creators wa JF mpya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kila baada ya Dakika 5 inatupiwa thread ya maneno 30 na kumalizia na slogan ya Maendeleo hayana chama.
Kwa tuliokuwa enzi ya JamboForums tukapumzika kurudi tuna kuta vitu hivi 😵
 
Ni jambo jema kwa mustakabali wa taifa letu.
 
Utakuwa umevuta bangi,
Um block kwa kosa lipi, ina maana huheshimu uhuru wa maoni kwa wenzako?
Nyie ndo mnasema uhuru na haki au ni wengine?
Bangi amenipa mama yako? Matusi ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…