Ni dhahiri Baraza kuu la CHADEMA halitaketi hivi karibuni kwa hofu ya Corona, Mbowe ana hesabu kali!

Kuna watu wanaumwa 'paranoid' baada ya kuukosa upinzani.

Mmojawapo ni huyu mshika mikoba wa Lumumba.
 
Shida yako huyo unayemtaja zaidi amekuwa mwiba mchungu kwako kiasi cha kukunyima usingizi.
 
Afadhali wewe umetoa ufafanuzi wa maana, hao wengine wanatoa povu tu na kurusha 'mananii' bila kujibu hoja ya mleta mada.
 
Ahsante mwandishi wa CHADEMA.
 
[emoji2][emoji2][emoji2] hawa ndo wa akina lemtuz papa mobimba....kutwa kujitia aibu mitandaoni..

Kazi na umri.
Umri ni namba tu bwashee ndio maana mzee Freeman Mbowe kafurushwa Hai na kijana mdogo kabisa Mh Ole Sabaya!
 
CDM ni akili kubwa; mtaendelea kuhangaika sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…