ostrichegg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 12,050 Reaction score 6,199 Nov 20, 2021 #41 Lord denning said: Habari ya chato? Alizibiti wasio wake kuiba huku akiiba yeye? Sema hapa ilikuwaje Mayanga Construction ikapewa tender ya ujenzi wa ndege chato? Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato fedha ziliidhinishwa na Bunge lipi? Click to expand... Alivunja taratibu za manunuzi za serikali kwa kununua ndege mafichoni tena kwa 'cash'.
Lord denning said: Habari ya chato? Alizibiti wasio wake kuiba huku akiiba yeye? Sema hapa ilikuwaje Mayanga Construction ikapewa tender ya ujenzi wa ndege chato? Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato fedha ziliidhinishwa na Bunge lipi? Click to expand... Alivunja taratibu za manunuzi za serikali kwa kununua ndege mafichoni tena kwa 'cash'.
B Buhare JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 483 Reaction score 602 Nov 20, 2021 #42 Tindo said: Usitake kumpachika sifa za kijinga kama hatumjui, alikuwa ni kiongozi muovu. Na uovu wake tulisema hata alipokuwa hai. Click to expand... We jimama la Kinondoni punguza gubu na hasira havikujengi hivyo
Tindo said: Usitake kumpachika sifa za kijinga kama hatumjui, alikuwa ni kiongozi muovu. Na uovu wake tulisema hata alipokuwa hai. Click to expand... We jimama la Kinondoni punguza gubu na hasira havikujengi hivyo
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Nov 20, 2021 #43 Buhare said: We jimama la Kinondoni punguza gubu na hasira havikujengi hivyo Click to expand... Sawa wifi yangu wa Mwananyamala.
Buhare said: We jimama la Kinondoni punguza gubu na hasira havikujengi hivyo Click to expand... Sawa wifi yangu wa Mwananyamala.