ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Labda mwaka 2100Ni kweli, katiba kwa njia ya amani hawataipata, lakini hata sisi tunajua katiba ya maridhiano itakuwa ya kisanii. Katiba ya kweli ya wananchi itapatikana aidha kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi fullstop.
Hiyo mbona karibu, nadhani itakuwa 2,500.Labda mwaka 2100
Sasa hata Katiba Mpya hawapati
Kiasi cha kuweza kuwapa au kuwanyima Chadema ili nao waimiliki.Kwani Katiba ni mali ya CCM?
Bora kukosa vyote kuliko kizazi kijacho kikalikojolea kaburi lako.Sasa hata Katiba Mpya hawapati
TAL aliwahi kukataa rushwa za watawala wote; awamu ya 3, 4, na 5. Hana bei huyu nduguLissu hahongeki mkuu, jamaa amenyooka kama rula na hajawahi kukubali kuwa sehemu ya huo "upuuzi" unaoitwa maridhiano. Haki haiombwi bali inadaiwa.
Hakuna kwenye maridhiano kulikuwa na agenda ya ubunge wa mezani.. Tusipotoshe tafadhaliKauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.
Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka maridhiano. Picha ni kuwa sasa hata ubunge wa ofa hawautaki tena kama hapo awali, ambapo walionekana kufurahia fursa na kuanza kurandaranda majimboni.
Sasa hivi wapo busy kumwaga sumu...
Mbona hili lipo wazi. Au wewe pekee ndio unakataaHakuna kwenye maridhiano kulikuwa na agenda ya ubunge wa mezani.. Tusipotoshe tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotosha kwa manufaa ya nani?Mbona hili lipo wazi. Au wewe pekee ndio unakataa
Hoja yako ni nini?Keyboard worrier!
Mwendazake alisema mara moja tu hataki habari ya katiba mpya hao wananchi hawakuwepo?
He is so smart that Guykitu namkubali lisu Sio mla rushwaa.
Keyboard worrier!
Mwendazake alisema mara moja tu hataki habari ya katiba mpya hao wananchi hawakuwepo?